tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Fasheni
  3. Mitindo ya Wanaume
  4. Saa za Wanaume
  5. Skmei Saa za Wanaume
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 zilizopita
9 maoni

Skmei Saa Original

+1
Ya Wanaume
Jinsia
Skmei
Chapa
Chapa Mpya
Hali
Quartz
Harakati
Dhahabu
Rangi ya Bendi
Kauri
Vifaa vya Bendi
Dhahabu
Rangi ya Kesi
Dijitali
Onyesha
Kawaida, Biashara
Mtindo
Sifa zake kuu: Movement: Quartz – Inatumia betri, ina muda sahihi na haihitaji kusokotwa. Muonekano wa kisasa (Minimalist design) – Dial rahisi, namba 12 juu, inafaa kuvaa ofisini au kwenye outing. Kioo kigumu (Hardlex/Glass) – Kinga dhidi ya mikwaruzo midogo. Strap ya chuma (Alloy/Stainless look) – Imara na ina muonekano wa kifahari. Rangi Silver (Full metallic finish) – Inang’aa na inafaa kuendana na mavazi mengi. Crown ya pembeni – Kwa kurekebisha muda kwa urahisi. Uzito mwepesi – Rahisi kuvaa siku nzima bila kuchosha mkono. Inafaa kwa: Matumizi ya kila siku Ofisini Zawadi kwa mwanaume Muonekano wa smart & classic
TSh 60,000
1 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif