tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Consoles za Mchezo wa Video
  4. Konsoli za Retro
  5. Sony PlayStation Portable
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 3 yaliyopita
2 maoni

​RS5 2.4G Wireless TV Game Console / Game Stick Yenye Retro Games

+1
Mdhibiti wa Mchezo
Aina
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-20:00
​Plug & Play: Ni rahisi sana kutumia, unachomeka kwenye port ya HDMI kwenye TV yako na kuanza kucheza moja kwa moja. ​2.4G Wireless Controllers: Ina padas/joysticks 2 za wireless zisizo na waya, zinazokupa uhuru wa kucheza ukiwa umekaa mbali na TV bila kero ya kamba. ​Retro Games Tele: Inakuja ikiwa imesheheni maelfu ya michezo maarufu ya zamani na ya kipekee (PS1, PSP, Game Boy, Arcade, NES n.k.). ​Ubora wa Picha (HD / 4K Output): Inaonyesha picha safi na za wazi kwenye TV yako (inasaidia HD & 4K). ​Inabebeka Kirahisi (Portable): Ni ndogo na nyepesi, unaweza kusafiri nayo popote na kuunganisha kwenye TV yoyote au projector. ​Brand New Sealed: Bidhaa mpya kabisa kwenye box lake.
​RS5 2.4G Wireless TV Game Console / Game Stick Yenye Retro Games
TSh 125,000
3 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif