Plextone G20 Mark IV Gaming Earphones (Footfirst Sound Effect / 3.5
1/3
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 3 yaliyopita
7 maoni
Plextone G20 Mark IV Gaming Earphones (Footfirst Sound Effect / 3.5
+1
Dashibodi za Mchezo
Aina
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Fungua sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-20:00
Chapa na Modeli: Plextone G20 MARK IV Custom Tracker E-Sport Driver.
Footfirst Sound Effect: Sauti maalum iliyoundwa kwa ajili ya kusikia hatua za mpinzani na risasi kwa usahihi wa hali ya juu kwenye michezo kama PUBG, Call of Duty, na Free Fire.
Muunganiko wa Dual Plug (3.5mm & USB-C): Inakuja na waya wa 3.5mm pamoja na adapta ya USB-C bure kwa ajili ya simu mpya zisizo na tundu la earphone.
v4.0 Noise-Reduction Circuit: Mfumo wa kupunguza kelele za nje ili kutoa sauti safi kabisa wakati wa kucheza game au kuongea.
Uzito Mwepesi Sana (5.0g Lightweight): Inakaa masikioni bila uzito wowote wala kero.
Synthetic Latex Like Ear-Caps: Mipira laini ya masikioni inayoziba kelele na kukupa starehe wakati wa matumizi ya muda mrefu.
Inafaa Vifaa Vyote (Wide Compatibility): Inatumika kwenye Simu za Mkononi, PC, PS5, Xbox Series X,