tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Consoles za Mchezo wa Video
  4. Sony PlayStation 5 Pro
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 2 yaliyopita
5 maoni

OIVO PS5 Adjustable Horizontal Stand - Stand Ya Kulaza PS5

+1
Dashibodi za Mchezo
Aina
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-20:00
Inafaa PS5 Zote (Universal Compatibility): Inafanya kazi kwenye Original PS5 (Fat), PS5 Slim, na PS5 Pro. ​Inayoweza Kubadilishwa (Adjustable Design): Unaweza kuirekebisha kwa urahisi ili ieneee vizuri kwenye mtindo wowote wa PS5. ​Uingizaji wa Hewa Mzuri (Better Heat Dissipation): Inaiinua PS5 kidogo kutoka kwenye meza au kabati ili kuruhusu mzunguko mzuri wa hewa na kuzuia console isipate joto (overheating). ​Imara na Salama: Inatoa msingi imara unaozuia PS5 kuteleza, kuyumba, au kuanguka. ​Rahisi Kufunga (Easy to Install): Haitaji vifaa gumu kufunga, ni rahisi na ya haraka. ​Compact & Portable: Ni ndogo, haichukui nafasi kubwa, na inafanya eneo lako la gaming lionekane nadhifu. ​Brand New: Zipi mpya kabisa kwenye box zake halisi.
OIVO PS5 Adjustable Horizontal Stand - Stand Ya Kulaza PS5
TSh 50,000
3 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif