tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Consoles za Mchezo wa Video
  4. Vidhibiti vya mchezo
  5. Double Vidhibiti vya mchezo
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 2 yaliyopita
4 maoni

H10 Mobile Game Controller - PUBG Controller Yenye Feni Mbili

+1
Mdhibiti wa Mchezo
Aina
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-20:00
​Feni Mbili za Kupooza (Double Cooling Fans): Ina feni 2 imara za kupooza simu kwa haraka ili kuzuia simu isipate moto (overheating) na isigande (lag) unapocheza. ​Triggers za Chuma (Metal Triggers): Ina triggers za juu za chuma zinazokupa uwezo wa kulenga (aim) na kupiga risasi (fire) kwa haraka sana bila kukawia. ​Power Bank / Inachaji Simu: Ina betri ya ndani inayoweza kuchaji simu yako ukiwa katikati ya mchezo ili usikatishiwe burudani. ​Ergonomic Design: Muundo mzuri unaoshikika kwa urahisi mikononi bila kuchoka hata ukicheza kwa masaa mengi. ​Utangamano Mkubwa (Universal Fit): Inafaa simu karibu zote za Android na iPhone (za ukubwa wa kuanzia inchi 4.7 hadi 6.5). ​Brand New: Zipi mpya kabisa kwenye box zake halisi.
H10 Mobile Game Controller - PUBG Controller Yenye Feni MbiliH10 Mobile Game Controller - PUBG Controller Yenye Feni Mbili
TSh 40,000
3 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif