tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Consoles za Mchezo wa Video
  4. Watawala wa Mchezo
  5. Sony PlayStation
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 iliyopita
15 maoni

Game Stick Lite 2.4 Wireless

+1
Mdhibiti wa Mchezo
Aina
Chapa Mpya
Hali
*#Game Stick Lite 2.4G Wireless + Playstation-style Controllers/ Games za Entertainment* Watoto na watu wazima hutumia kurefresh ubongo * FEATURES (Kwa Ufupi Sana)* • 2.4G Wireless Controllers – Pad mbili zinaunganishwa bila waya hadi umbali mrefu. • Game Stick HDMI Dongle – Hiki kifaa ndiyo “console”; kinaingia moja kwa moja kwenye TV kupitia HDMI. *• Inakuja na Games tofauti tofauti zaidi ya 10,000+ we uliona wapi*– Classic games (Mario, Contra, Tekken, King of Fighters, n.k). • Professional Game Chip – Huifanya michezo kukimbia vizuri bila kuchelewa (lag-free). • Double Rocker Control – Analog sticks mbili kwa michezo ya modern & action. • Plug & Play – Hakihitaji installation au internet; unawasha tu na unaanza kucheza.
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif