tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. TV na Vifaa vya Video
  4. Runinga
  5. Hisense TV na Vifaa vya Video
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 2 yaliyopita
4 maoni

Slarmax Smart TV Nchi 32 Smart

+1
1
SOLARMAX
Chapa
SMART TV NCHI 32
Mfano
Runinga
Aina
32inches
Ukubwa wa skrini
LED
Onyesha Teknolojia
1080p (FullHD)
Azimio la Dislpay
Android TV
Mfumo wa Uendeshaji wa Televisheni
Chapa Mpya
Hali
Hapana
Kubadilishana inawezekana
Uwasilishaji
Dar es Salaam
1 mchana
Bila malipo
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
KARIAKOO NJIAPANDA YA MTAA WA NDANDA NA MUHONDA NYUMA YA CHINA PLAZA KARIBU NA BUTTERFLY HOTEL
Closed
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-22:00
Ili ujibiwe haraka usitume meseji nipigie simu . ikigoma kuplay au kutoa sauti kwenye muvi yoyote rudisha uchukue hela yako, zetu hazigomi wala hazichagui movies, zina ubora wa hali ya juu na warranty ya uhakika mwaka mzima . delivery free yaani bure na utalipia baada ya kupokea mzigo wako ukague na kujiridhisha kuwa uko salama . usishangae unafuu wa bei zetu kwakuwa sisi hatuuzi kwa tamaa kama wengine hivyo usikubali kupigwa tena na kupoteza pesa zako nyingi kwenye manunuzi ya electronics . sisi tutakuuzia bei ndogo, tunazo bidhaa zote brand zote tupigie kabla hujanunua chochote kwa wenye tamaa tukupe bei zetu nafuu ulinganishe na zao ili uone utofauti . zipo bidhaa zote kama vile tv, sabufa, sound bar, majiko ya umeme na gesi... tunazo brand zote kama hisense, samsung, lg, tcl, aborder, alitop . tuko kariakoo karibu na kanisa la kkkt
Slarmax Smart TV Nchi 32 Smart
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif