tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. TV na Vifaa vya Video
  4. Runinga
  5. Hisense TV na Vifaa vya Video
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, 43 min ago
6 maoni

Ofa Ofa X Mass = Mewe Nchi 43 LED Frameless, Full HD Ubora

+1
1
MEWE
Chapa
Nchi 43 LED
Mfano
Runinga
Aina
43inches
Ukubwa wa skrini
LED
Onyesha Teknolojia
1080p (FullHD)
Azimio la Dislpay
Chapa Mpya
Hali
Uwasilishaji
Dar es Salaam
1 mchana
TSh 2,000 - 7,000
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
KARIAKOO NJIAPANDA YA MTAA WA NDANDA NA MUHONDA NYUMA YA CHINA PLAZA KARIBU NA BUTTERFLY HOTEL
Closed
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-22:00
Tunauza bidaa mpya tu hatuna used majibu haraka usitume meseji piga simu . tv ya mewe ina hd kali sana na ura wa juu, imara sana na ina warranty miaka 2 ina guarantee mwaka wa kwanza ikusumbua unabadilishiwa hii ni mkataba . delivery tunafanya lipa ukishapokea mzigo wako na kuukagua . usishangae unafuu wa bei zetu kwani sisi hatuuzi kwa tamaa kama wengine hivyo usikubali kupigwa tena na kupoteza pesa zako nyingi kwenye manunuzi ya electronics . sisi tutakuuzia kwa bei ndogo, tunazo bidhaa zote brand zote tupigie kabla hujanunua chochote kwa wenye tamaa tukupe bei zetu nafuu ulinganishe na zao ili uone utofauti . zipo bidhaa zote mfano tv nchi 17-98, sabufa, sound bar, friji, majiko aina zote pia brand zote zipo kama hisense, samsung, lg, tcl, aborder, alitop na nyinginezo ushindwe ww tu . tuko kariakoo karibu na kanisa la kkkt tupigie
Ofa Ofa X Mass = Mewe Nchi 43 LED Frameless, Full HD Ubora
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif