Ofa Ofa = Vonne TV Nchi 32 LED Imara Ina HD Kali Sana 1080P
1/5
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 3 yaliyopita
1 maoni
Ofa Ofa = Vonne TV Nchi 32 LED Imara Ina HD Kali Sana 1080P
+1
Vonne
Chapa
Vonne TV NCHI 32 LED
Mfano
Runinga
Aina
32inches
Ukubwa wa skrini
LED
Onyesha Teknolojia
Chapa Mpya
Hali
Uwasilishaji
Dar es Salaam
1 mchana
TSh 2,000 - 7,000
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
KARIAKOO NJIAPANDA YA MTAA WA NDANDA NA MUHONDA NYUMA YA CHINA PLAZA KARIBU NA BUTTERFLY HOTEL
Closed
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-22:00
Tunauza mpya tu sio used tupigie
.
ukinunua tv kwetu hutakuja kukutana na tatzo la muvi kugoma kuonyesha au kutoa sauti inamaana haitachagua movies bali itaplay zote kwakuwa tumegundua namna ya kuongeza program ili usikutane na hayo matatizo ambayo sshv yamekuwa sugu...
.
hizo program ni sisi tu ndo tunajua jinsi ya kuongeza baada ya kufanya utafiti kwa muda mrefu na tunakuhakikishia kuwa ikigoma kuplay muvi yoyote irudishe uchukue hela yako
.
tv ya vonne ni tv nzuri sana ina ubora wa juu sana hd yake ni kali na inaplay hd warranty mwaka
.
usipigwe tena kwenye manunuzi ya bidhaa za electronics sisi hatuuzi kwa tamaa kabisa, yaani bei zetu ni kitonga hatuna tamaa kama wengine tunazo bidhaa zote brand zote tv zote hisense, samsung, lg na mafriji aina zote, bei zetu huwezipata popote pale
tu follow insta = future_vision_electronics_tz