Ofa Ofa = Skywookd TV Nchi 32 Led, Imara Sana, Full HD 1080P
1/6
+ 1
picha
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 zilizopita
12 maoni
Ofa Ofa = Skywookd TV Nchi 32 Led, Imara Sana, Full HD 1080P
+1
Skywood
Chapa
TV NCHI 43 LED
Mfano
Runinga
Aina
43inches
Ukubwa wa skrini
LED
Onyesha Teknolojia
1080p (FullHD)
Azimio la Dislpay
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
KARIAKOO NJIAPANDA YA MTAA WA NDANDA NA MUHONDA NYUMA YA CHINA PLAZA KARIBU NA BUTTERFLY HOTEL
Closed
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-22:00
Utajiskiaje kama umefika na muvi yako sebuleni unataka kuangalia tu mara paap inaandika unsupported fomat yaani haisomi au haitoi sauti?
.
hilo ni tatizo ambalo sisi tunalitatua kwa kuongezea program maalum kwenye smart tv zetu zote ili isisumbue kutoa sauti au kusoma movie yoyote
.
ukinunua tv kutoka kwetu ikisumbua kusoma muvi yoyote au kuto kutoa sauti kwenye muvi yoyote njoo uchukue hela yako
.
hatubabaishi kwakuwa tunauza muvi hivyo tunajua changamoto za tv nyingi ndomaana tumepatia ufumbuzi muvi kugoma kusoma
.
tv zetu zote ni imara sana zinaubora wa hali ya juu sana na warranty ya uhakika mwaka mzima ikisumbua tu rudisha upewe mpya
.
usishangae unafuu wa bei zatu kwakuwa hatuuzi kwa tamaa kama wengine hivyo kabla hujanunua chochote kwa wenye tamaa tupigie tukupe bei zetu ulinganishe
.
tuko kariakoo karibu na kanisa kkkkt tupigie