tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. TV na Vifaa vya Video
  4. Runinga
  5. LG TV na Vifaa vya Video
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 3 yaliyopita
1 maoni

Ofa Ofa = LG Nano Cell Nchi 65 Smart Uhd

+1
1
LG
Chapa
NANO CELL NCHI 65 SMART 4K UHD
Mfano
Runinga
Aina
65inches
Ukubwa wa skrini
LED
Onyesha Teknolojia
2160p (4K)
Azimio la Dislpay
Glossy
Onyesha Aina
Smart TV (android AOSP)
Mfumo wa Uendeshaji wa Televisheni
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
KARIAKOO NJIAPANDA YA MTAA WA NDANDA NA MUHONDA NYUMA YA CHINA PLAZA KARIBU NA BUTTERFLY HOTEL
Closed
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-22:00
Ili ujibiwe haraka usitume meseji nipigie simu . miongoni mwa tv kali sana sijawahi kuona ni hii lg nano cell, ukisikia nano cell ogopa sana hiyo kitu maana yake display cell zake ni ndogo ndogo sana zenye kulete hd kali sana . tv hii inaubora wa hali ya juu na imara sana nakupa warranty miaka 2 ukinunua hii nakuletea nakufungia bure . delivery tunafanya na utalipia baada ya kupokea mzigo wako na kujiridhisha kuwa uko salama . usishangae unafuu wa bei zetu kwakuwa sisi hatuuzi kwa tamaa kama wengine hivyo usikubali kupigwa tena na kupoteza pesa zako nyingi kwenye manunuzi ya electronics . sisi tutakuuzia bei ndogo, tunazo bidhaa zote brand zote tupigie kabla hujanunua chochote kwa wenye tamaa tukupe bei zetu nafuu ulinganishe na zao ili uone utofauti . zipo bidhaa zote kama tv, radio, friji nk . tuko kariakoo karibu na kanisa la kkkt
Onyesha anwani
Ofa Ofa = LG Nano Cell Nchi 65 Smart Uhd
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif