Ofa Ofa Kubwa - Mewe TV Nchi 43 Smart Android Google
1/2
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 zilizopita
2 maoni
Ofa Ofa Kubwa - Mewe TV Nchi 43 Smart Android Google
+1
3
MEWE
Chapa
MW432SG
Mfano
Runinga
Aina
43inches
Ukubwa wa skrini
LED
Onyesha Teknolojia
1080p (FullHD)
Azimio la Dislpay
Google TV
Mfumo wa Uendeshaji wa Televisheni
Chapa Mpya
Hali
Hapana
Kubadilishana inawezekana
Uwasilishaji
Dar es Salaam
1 mchana
TSh 2,000 - 7,000
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
KARIAKOO NJIAPANDA YA MTAA WA NDANDA NA MUHONDA NYUMA YA CHINA PLAZA KARIBU NA BUTTERFLY HOTEL
Closed
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-22:00
Ili ujibiwe haraka usitume meseji nipigie simu
.
tv ya mewe ni brand mpya na ndo brand pekee inayotoa guarantee kwa mwaka wa kwanza yaani ikizingua unapewa mpya, ina ubora wa hali ya juu na hd kali sana, usipitwe na ofa hii maana itaisha soon, ukinunua hii ni mkataba utanishukuru baadaye
.
delivery tunafanya na utalipia baada ya kupokea mzigo wako na kujiridhisha kuwa uko salama
.
usishangae unafuu wa bei zetu kwakuwa sisi hatuuzi kwa tamaa kama wengine hivyo usikubali kupigwa tena na kupoteza pesa zako nyingi kwenye manunuzi ya electronics
.
sisi tutakuuzia bei ndogo, tunazo bidhaa zote brand zote tupigie kabla hujanunua chochote kwa wenye tamaa tukupe bei zetu nafuu ulinganishe na zao ili uone utofauti
.
zipo bidhaa zote kama vile tv, sabufa, sound bar, pressures cookers, majiko na vingine vingi
.
tuko kariakoo karibu na kanisa la kkkt