KARIAKOO NJIAPANDA YA MTAA WA NDANDA NA MUHONDA NYUMA YA CHINA PLAZA KARIBU NA BUTTERFLY HOTEL
Closed
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-22:00
hebufikiria inakera kiasi gani unapokuja na muvi yako nyumbani uangalie kwenye tv halafu umekaa sebuleni unaweka mara paap inaandika *unsupported file*
.
usihofu tena maana tumepatia ufumbuzi hilo tatzo, hivyo ukinunua tv kwetu hilo tatzo utaliskia tu kwa majirani ambao hawajanunua tv kutoka kwetu na sisi tunakuhakikishia kuwa hakuna muvi yoyote itakayo shindwa kusoma au kutoa sauti
.
kwakuwa tumegundua mbinu mpya yakuongezea program kwenye tv ili isigome kusoma au kutoa sauti kwenye muvi yoyote ile hivyo hilo tatizo hutaliskia tena. kwasababu sisi tunauza muvi ndo maana tuligundua namna ya kuzuia tv kuchagua movies
.
pia ikitokea tv ulionunua kwetu imeshindwa kuplay au kutoa sauti kwenye muvi yoyote basi rudisha hiyo tv tukupe hela yako
.
tupo kariakoo karibu na kanisa la kkkt tunazo electronics ainazote na bei nafuu tupigie