Ofa Ofa = Alitop Tv Nchi 65 Smart Uhd Imara Na Hd Kali
1/2
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 2 yaliyopita
3 maoni
Ofa Ofa = Alitop Tv Nchi 65 Smart Uhd Imara Na Hd Kali
+1
Alitop
Chapa
Alitop TV NCHI 65 SMART 4k uhd
Mfano
Runinga
Aina
65inches
Ukubwa wa skrini
LED
Onyesha Teknolojia
Chapa Mpya
Hali
Uwasilishaji
Dar es Salaam
1 mchana
TSh 2,000 - 7,000
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
KARIAKOO NJIAPANDA YA MTAA WA NDANDA NA MUHONDA NYUMA YA CHINA PLAZA KARIBU NA BUTTERFLY HOTEL
Open
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-22:00
Hatuuzi used tunauza mpya tuu
.
utajiskiaje kama umefika na muvi yako sebuleni unataka kuangalia tu mara paap inaandika unsupported fomat yaani haisomi au haitoi sauti?
.
hilo ni tatizo ambalo sisi tunalitatua kwa kuongezea program maalum kwenye smart tv zetu zote ili isisumbue kutoa sauti au kusoma movie yoyote
.
ukinunua tv kutoka kwetu ikisumbua kusoma muvi yoyote au kuto kutoa sauti kwenye muvi yoyote njoo uchukue hela yako
.
hatubabaishi kwakuwa tunauza muvi hivyo tunajua changamoto za tv nyingi ndomaana tumepatia ufumbuzi muvi kugoma kusoma
.
tv zetu zote ni imara sana zinaubora wa hali ya juu sana na warranty ya uhahakika mwaka mzima
.
usishangae unafuu wa bei zatu kwakuwa hatuuzi kwa tamaa kama wengine hivyo kabla hujanunua chochote kwa wenye tamaa tupigie tukupe bei zetu ulinganishe
.
tuko kariakoo karibu na kanisa kkkkt tupigie