tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. TV na Vifaa vya Video
  4. Runinga
  5. Hisense TV na Vifaa vya Video
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, 55 min ago
1 maoni

Hisense Smart TV

+1
Chapa
Hisense 100" QLED Smart 4K
Mfano
Runinga
Aina
100inches
Ukubwa wa skrini
QLED
Onyesha Teknolojia
4320p (8K)
Azimio la Dislpay
Matte
Onyesha Aina
800Hz
Onyesha upya Kiwango
Google TV
Mfumo wa Uendeshaji wa Televisheni
Chapa Mpya
Hali
jifunge upate cinema nyumbani kwako na hisense inch 100! unahitaji kuona kila kitu kikiwa kikubwa, safi, na chenye muonekano wa kuvutia kabisa halisi? pata hisense smart tv ya inchi 100 sasa hivi! ndio kiboko ya live matches za mpira, muvi, na gaming kwa sasa! ukubwa wa kipekee: inchi 100 zinazobadilisha sebule yako kuwa ukumbi halisi wa sinema. picha safi: teknolojia ya 4k ultra hd inayotoa picha ang'avu na rangi halisi zilizochambuka vizuri zikiwa zimegawanyika kiufundi. smart tv: inasapoti youtube, netflix, prime video, na unaweza kuunganisha simu yako kwa urahisi sana. sauti ya cinema: mfumo wa sauti wa dolby unaokufanya uhisi upo uwanjani au ndani ya muvi. ofa maalum ya leo:free wall mount (stendi imara ya kuundia ukutani)garantii (warranty) ya uhakika!usafiri (delivery) wa uaminifu mkubwa hadi mikoani na dar es salaam.
Hisense Smart TVHisense Smart TV
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif