tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. TV na Vifaa vya Video
  4. Runinga
  5. Haier TV na Vifaa vya Video
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 2 yaliyopita
1 maoni

Haier Smart Uhd TV Qled New Model 2023

+1
1
Haier
Chapa
Nchi 65 QLED TV
Mfano
Runinga
Aina
65inches
Ukubwa wa skrini
QLED
Onyesha Teknolojia
2160p (4K)
Azimio la Dislpay
Android TV
Mfumo wa Uendeshaji wa Televisheni
Chapa Mpya
Hali
Hapana
Kubadilishana inawezekana
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
KARIAKOO NJIAPANDA YA MTAA WA NDANDA NA MUHONDA NYUMA YA CHINA PLAZA KARIBU NA BUTTERFLY HOTEL
Closed
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-22:00
Ili ujibiwe haraka usitume meseji nipigie simu . hii ni model mpya kabisa ya tv za haier zenye qled yaani (quantum light emmiting diode) hizi ni new series zenye ubora wa hali ya juu na warranty ya uhakika full hd kali sana . delivery tunafanya na utalipia baada ya kupokea mzigo wako na kujiridhisha kuwa uko salama . usishangae unafuu wa bei zetu kwakuwa sisi hatuuzi kwa tamaa kama wengine hivyo usikubali kupigwa tena na kupoteza pesa zako nyingi kwenye manunuzi ya electronics . sisi tutakuuzia bei ndogo, tunazo bidhaa zote brand zote tupigie kabla hujanunua chochote kwa wenye tamaa tukupe bei zetu nafuu ulinganishe na zao ili uone utofauti . zipo bidhaa zote kama vile tv, sabufa, sound bar, pressures cookers, majiko ya umeme na gesi, na nyinginezo nyingi. tunazo brand zote kama hisense, lg, tcl . tuko kariakoo karibu na kanisa la kkkt
Haier Smart Uhd TV Qled New Model 2023
TSh 1,560,000
Inaweza kujadiliwa
2 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif