tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. TV na Vifaa vya Video
  4. Runinga
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 zilizopita
7 maoni

Boss TV Nchi 32 LED Vioo Viwili

+1
1
Boss
Chapa
BLV32AF786
Mfano
Runinga
Aina
32inches
Ukubwa wa skrini
LED
Onyesha Teknolojia
1080p (FullHD)
Azimio la Dislpay
Without Smart TV
Mfumo wa Uendeshaji wa Televisheni
Chapa Mpya
Hali
Hapana
Kubadilishana inawezekana
Uwasilishaji
Dar es Salaam
1 mchana
TSh 2,000 - 7,000
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
KARIAKOO NJIAPANDA YA MTAA WA NDANDA NA MUHONDA NYUMA YA CHINA PLAZA KARIBU NA BUTTERFLY HOTEL
Open
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-22:00
Ili ujibiwe haraka usitume meseji nipigie simu . hii ni tv ya boss nchi 32 inavioo viwili yaani double glass kioo cha juu kinazuia isipasuke kirahisi hata watoto wakiigonga , ina hd kali sana na ubora wa hali ya juu, nakupa warranty mwaka . delivery tunafanya na utalipia baada ya kupokea mzigo wako na kujiridhisha kuwa uko salama . usishangae unafuu wa bei zetu kwakuwa sisi hatuuzi kwa tamaa kama wengine hivyo usikubali kupigwa tena na kupoteza pesa zako nyingi kwenye manunuzi ya electronics . sisi tutakuuzia bei ndogo, tunazo bidhaa zote brand zote tupigie kabla hujanunua chochote kwa wenye tamaa tukupe bei zetu nafuu ulinganishe na zao ili uone utofauti . zipo bidhaa zote kama vile tv, sabufa, sound bar, pressures cookers, majiko ya umeme na gesi, na nyinginezo nyingi. tunazo brand zote . tuko kariakoo karibu na kanisa la kkkt
Boss TV Nchi 32 LED Vioo ViwiliBoss TV Nchi 32 LED Vioo Viwili
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif