Smart TV: Hubadilisha TV ya kawaida yenye HDMI kuwa Smart TV.
Android OS: Huruhusu kutumia apps zinazotumika kwenye kifaa, kama YouTube na Netflix.
Wi-Fi: Huunganisha intaneti bila waya.
Bluetooth: Baadhi ya model huunganisha earphones, spika na vifaa vingine.
4K Ultra HD: Model zinazotumia 4K huonyesha picha zenye ubora wa juu kwenye TV inayoiunga mkono.
HDMI Connection: Huunganishwa kwenye TV kupitia HDMI.
USB Ports: Baadhi huwezesha kutumia flash disk au vifaa vingine vya USB.
Remote Control: Hurahisisha kubadilisha channels, kufungua apps na kudhibiti kifaa.