Unatafuta gari la biashara litakalokusaidia kusafirisha mizigo na kufanya delivery zako kwa ufanisi?
foton miler 2.5t ni chaguo kwa wajasiriamali, wasambazaji wa bidhaa, hardware, vinywaji, mazao na biashara nyingine zinazohitaji usafiri wa mizigo.
specs & features
- engine: yuchai diesel
- payload: 2.5 tonnes
- gearbox: 5-speed manual
- body: dropside, takribani 10ft
- fuel tank: 70 litres
- power steering
- air conditioning
price: tzs 65,000,000
brand new — zero kilometres
kwa maelezo zaidi, bei na upatikanaji, wasiliana nasi.
dm / whatsapp:
anza safari ya kuisogeza biashara yako mbele na foton miler 2.5t!