Hutumia betri inayochajiwa kwa umeme.
Hurusha gel balls kwa mfumo wa automatic.
Ina magazine ya kuhifadhia gel balls.
Baadhi zina mfumo wa full automatic na semi-automatic.
Gel balls hupasuka zinapogonga kitu.
Ina muonekano wa bunduki halisi kulingana na model.
Inafaa kwa michezo ya burudani inayosimamiwa kwa usalama.
Inaweza kuwa na LED light na accessories kulingana na model.
Baadhi zina rechargeable battery ya 7.4V.