tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Zana na vifaa
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 zilizopita
24 maoni

KODTEC Wireless Rechargeable Hair Clipper/ Mashine Ya Kunyoa

+1
1
Other
Chapa
Clippers & Trimmers
Aina
Umeme
Chanzo cha Nguvu
KODTEC Wireless & Rechargeable Hair Clipper/ Mashine ya Kunyoa Model:- KT-703RHC Inafaa kwa matumizi ya Nyumbani na Saloon pia Inaweza kutumika kwa dakika 210-240 Baada ya kuchaji Mashine ya kisasa zaidi ya kunyolea Nywele Kava la Metali lenye muonekano wa kuvutia zaidi Mashine Imara na yenye nguvu zaidi Inayonyoa bila kelele Nyembe 6 tofauti za kubadilisha za kunyolea (3,6,9,12,20 na 30mm) hivyo utaweza kunyoa nywele za aina mbalimbali Display ya LED ya kuonyesha kiwango cha chaji iliyobakia Visu vyenye makali ya kudumu na visivyoshika kutu Mfumo wa Fast charging na chaji inadumu (masaa 3-4) Vifaa vya ziada km nyembe 6, brashi 1, mafuta na begi ya kubebea
KODTEC Wireless Rechargeable Hair Clipper/ Mashine Ya KunyoaKODTEC Wireless Rechargeable Hair Clipper/ Mashine Ya Kunyoa
TSh 169,000
10 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif