Unatafuta mashine nzuri ya kunyolea nywele? Kemei ndiyo chaguo lako kwa matumizi ya nyumbani na saluni!
Brand: Kemei
Inatumia betri inayochajiwa
Rahisi kutumia na kubeba
Inafaa kwa matumizi ya nyumbani na saluni
Muonekano wa kisasa
Inakupa uhuru wa kutumia bila waya wakati wa kunyoa.
BEI: TSh 55,000/= TU!
Wasiliana nasi sasa kuagiza yako!
Nunua kwa bei nzuri, furahia huduma bora!