tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Huduma
  3. Huduma za Ushuru na Fedha
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 iliyopita
4 maoni

Epuka Usumbufu Katika Biashara Yako

+1
BIASHARA BORA
Jina la kampuni
Huduma za Ushuru
Aina ya Huduma
Other
Aina ya Huduma ya Ushuru
Biashara Ndogo
Aina ya Chombo
Benki, Fedha na Bima
Viwanda
Miaka tatu
Uzoefu wa Kazi
Ndio
Zungusha Huduma ya Saa
Utaratibu mzuri wa uendeshaji wa biashara yako ndio mwanza wa mafanikio. Andaa nyaraka muhimu zote kwa ajili ya kuonesha taasisi husika pindi wakati wa ukaguzi. Hii inasaidia kuondoka usumbufu wa kukatisha biashara, kulipa penalti na faini, Pamoja na umuhimu huu wafanyabiashara wengi hukosa muda sahihi wa kufatilia baadhi ya nyaraka au taratibu fulani hivo kupelekea usumbufu. Wasiliana nasi tukupige tafu ili uendelee kufanya biashara pasipo usumbufu.
TSh 30,000per service
Inaweza kujadiliwa
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Angalia Maoni ya wengine ili kuhakikisha kuwa mtu huyo anaaminika
  • Fanya maafikano kuhusu majukumu yako na mshahara utakaolipwa
  • Kutana ana kwa ana na mtu katika sehemu salama ya umma
frame_left.gif