Slim Milk Tea
Wale wanaompenda kupungua mwili ila hawapendi ladha mbaya hii ndo yako sasa, unapungua na ni tamu
inakata appetite ya kula
inasaidia kupunguza mwili
ni antioxidant
inaboost metabolism
inaondoa kuvimbiwa
inang’arisha ngozi
Jinsi ya kutumia
Unatumia sachet moja kwa siku kabla au baada ya chakula, unaweza kunywa. Na maji ya moto au ya baridi
Mama anayenyonyesha anaweza tumia ila angalizo kuwe na chakula mbadala cha kumtosha mtoto, asitumie ambaye mtoto anategemea kunyonya kwa mama tu kupata chakula chake mana inakata hamu ya kula kwa mama
Zipo saches 10