tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Vitamini na virutubisho
  4. Vitamini
Dar es Salaam, Ilala, 11/06
17 maoni

Vitamin B 1 Supplement

+1
Supple
Chapa
Virutubisho vya Vitamini
Aina
Vitamini B
Viungo Amilifu
Vidonge
Uundaji
Yote
Jinsia
Yote
Kikundi cha Umri
Wakati wa Chakula
Wakati wa kuchukua
Chupa
Furushi
Virutubisho vya Vitamini B
Aina ya Virutubisho vya Vitamini
FAIDA ZA VITAMIN B1 (THIAMINE) Vitamin B1 ni kirutubisho muhimu kwa afya ya mwili na akili kwa ujumla. Faida Kuu: • Husaidia kubadilisha chakula kuwa nishati • Huongeza nguvu na kupunguza uchovu • Husaidia afya ya mfumo wa neva (ubongo na mishipa ya fahamu) • Huboresha kumbukumbu na umakini • Husaidia kazi za moyo kufanya kazi vizuri • Husaidia mmeng’enyo wa chakula • Huongeza hamu ya kula • Husaidia kupunguza msongo wa mawazo • Huchangia ustawi wa misuli • Husaidia mwili kupambana na dalili za upungufu wa vitamini B1 • Huchangia ukuaji na urekebishaji wa seli • Husaidia kudumisha afya ya akili • Hufaa kwa watu wenye uchovu wa muda mrefu • Husaidia mwili kutumia virutubisho vingine vizuri • Husaidia kudumisha afya kwa watu wazima na wazee Tunapatikana: Tabata segerea
TSh 65,000
Inaweza kujadiliwa

TSh 60,000

≥ vipande 5
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif