Kitambi, Nyama Uzembe Ondoa Na Forever C9 Program Asilia Siku 9
Dar es Salaam, Ilala, 09/05
1 maoni
Kitambi, Nyama Uzembe Ondoa Na Forever C9 Program Asilia Siku 9
+1
Forever Living
Chapa
Bidhaa za Kupoteza Uzito
Aina
Tata/changamano ya vitamini nyingi, Antioxidant, Vitamini C (Ascorbic Acid), Vitamini B, Aloe Vera, Chromium, Chromium Picolinate, Protini
Viungo Amilifu
Kioevu
Uundaji
Yote
Jinsia
Yote
Kikundi cha Umri
Nyingine
Ladha
Yote ya Asili, Haina kemikali, Pombe Bure, Bila Allergen, Kikaboni
Vipengele
Sanduku la Karatasi
Furushi
Udhibiti wa hamu ya kula na vikandamizaji
Aina ya Bidhaa za Kupoteza Uzito
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Tanzanite park, Victoria
1km FROM MOROCCO UDART BUS STOP, BAGAMOYO ROAD
Open
• Jumatatu - Jumapili, 07:00-19:00
Umekuwa ukijitahidi kubadilisha diet nyingi, kufunga kula, kwenda gym, au kutumia njia mbalimbali kupunguza uzito, kitambi na nyama uzembe bila matokeo unanyohiyajiHii ni kwasababu kuna baadhi ya maeneo Matano (05) ambayo hujayafanyia kazi
Forever C9 ni program maalum iliyoundwa kwa mpango wa siku 9 husaidia maeneo hayo katika njia za asili
inatokana na mmea wa asili ALOE VERA,
1.Inasafisha mfumo wa chakula, na kuboresha usagaji wa virutubisho
2. Inadhibiti hamu ya chakula na kusaidia metabolism ya mafuta
3. Inakuongeza nguvu na metabolism kwa kuchoma kalori haraka
4.Inaboresha usagaji, inasafisha mwili, na husaidia kuondoa taka mwilini
5.Mwongozo wa Mpango wa Chakula rahisi wa kufuata unaohakikisha lishe bora na matokeo makubwa
6.Tape measure, kurekodi vipimo na matokeo ukiwa kwenye program
7.Kitabu cha muongozo kuhusu program nzima