tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na Huduma ya Kibinafsi
  3. Vitamini na virutubisho
  4. Chai ya Kupunguza Uzito
  5. Herbal Vitamini na virutubisho
Dar es Salaam, Ilala, 11/06
3 maoni

Herbal Slimming Tea

+1
21St Century
Chapa
Virutubisho vya Detox & Kuosha
Aina
Chai
Uundaji
Yote
Jinsia
Yote
Kikundi cha Umri
Yote ya Asili
Vipengele
Nyingine
Wakati wa kuchukua
Nyingine
Furushi
CHAI YA ASALI & LIMAO – LADHA TAMU, AFYA YA ASILI Je, unatafuta kinywaji kinachochanganya ladha nzuri, harufu ya kuburudisha na manufaa ya asili? Chai ya Asali na Limao ni chaguo bora kwa watu wanaojali afya na ustawi wa mwili wao Asali halisi hutoa utamu wa asili na husaidia kuupa mwili hisia ya nguvu na utulivu. Limao safi huongeza ladha na husaidia kuupa mwili mwamko freshi na burudani ya asili Faida za Kiafya (kama sehemu ya mtindo bora wa maisha): Husaidia kuupa mwili nguvu ya asili Huchangia kuburudisha mwili na akili Inafaa katika kuanza siku kwa mwamko mzuri Husaidia kuupa mwili unyevunyevu na faraja Ni kinywaji kizuri kwa watu wanaopunguza vinywaji vyenye sukari nyingi Inafurahiwa zaidi: Asubuhi kuanza siku kwa utulivu Wakati wa mapumziko kazini Jioni kabla ya kupumzika
TSh 50,000
Inaweza kujadiliwa

TSh 40,000

≥ vipande 10
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif