Argi Plus Inakupa Nguvu Zaidi Kwa Wale Wanamichezo Na Gym
1/2
Dar es Salaam, Ilala, 27/05
3 maoni
Argi Plus Inakupa Nguvu Zaidi Kwa Wale Wanamichezo Na Gym
+1
Forever Living
Chapa
Virutubisho vya Mfumo wa Mzunguko
Aina
Vitamini B, Tata/changamano ya vitamini nyingi, L-Arginine, Changamano la Madini Mengi
Viungo Amilifu
Poda
Uundaji
Yote
Jinsia
Mwandamizi
Kikundi cha Umri
Haina ladha
Ladha
Yote ya Asili, Haina kemikali, Pombe Bure
Vipengele
Kabla ya Mlo
Wakati wa kuchukua
Sanduku la Karatasi
Furushi
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Kinondoni
Kinondoni-Victoria
Closed
• Jumatatu - Jumamosi, 06:00-20:00
Argi plus je wajua; changamoto za afya ya mzunguko wa damu zinachangia zaidi ya nusu ya vifo vitokanavyo na magonjwa yasiyoambukizwa? kwa sababu hii kutunza afya ya mzunguko wa damu ni moja ya njia kuu sana ya kukukinga na hizo changamoto am excited leo kukupa hii taarifa muhimu kuhusu *argi plus* ni moja ya bidhaa chache kuu sana kwenye kutunza afya yako. argi husaidia mishipa ya damu kutanuka na kuboresha msukumo wa damu vizuri mwilini na kwenye mishipa mikubwa na midogo, ambayo ni muhimu sana kwenye afya ya mwili wote in general. faida nyingine ni: => kutunza afya ya moyo na mzunguko wa damu => kuboresha uwiano wa cholesterol mwilini => kusaidia kuweka uwiano wa presha ya damu => kuboresha ufanisi wa tendo la ndoa => kuboresha kinga ya mwili => kujenga na kurecover misuli hivyo muhimu sana kwa wafanya mazoezi => inaboresha mifupa