Inalenga misuli kwa usahihi: Mfumo wa rangi kwenye ubao unakusaidia kuweka vishikio sehemu sahihi ili kujenga kifua, mabega, mgongo, na mikono bila kukisia.Inalinda viungo vya mikono (Wrists): Vishikio vya ubao vinapunguza shinikizo na maumivu kwenye viungo vya mikono ikilinganishwa na kupiga push-up za kawaida chini kwenye sakafu.Inatengeneza "Six-Pack" na Core imara: Kifaa cha Ab Roller ni kiboko cha kuchoma mafuta ya tumbo na kuimarisha misuli ya kiuno na mgongo.Inaokoa muda na gharama: Unafanya mazoezi ya mwili mzima ukiwa nyumbani kwako, hivyo hukatishiwi ratiba na mvua au gharama za kila mwezi za kulipia Gym.Ni rahisi kubeba na kuhifadhi: Kifaa kinajikunja kwa urahisi, hakichukui nafasi kubwa ndani na unaweza kusafiri nacho popote.