tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Burudani na Shughuli
  3. Vifaa vya Michezo
  4. Tredimili
Dar es Salaam, Ilala, 30/05
1 maoni

Perfect Combo Threadmill+Press Bench+50 Kg Dumbell Set

+1
Other
Chapa
Nyingine
Aina
Chapa Mpya
Hali
Home gym combo hii ni kifaa kamili kwa mtu anayetaka kufanya mazoezi kwa urahisi na ufanisi. Inajumuisha treadmill, bench ya kunyanyua vyuma pamoja na set ya uzito hadi 50kg, hivyo unaweza kufanya mazoezi mbalimbali kama kukimbia, bench press, leg workouts na mazoezi ya mikono na kifua. Imetengenezwa kwa muundo imara na wa kisasa unaofaa kuwekwa nyumbani au sehemu ya mazoezi, huku ikiwa rahisi kutumia kwa wanaoanza na waliobobea. Ni chaguo bora kwa yeyote anayetaka kujenga afya bora, nguvu na mwili wenye umbo zuri bila kwenda gym.
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif