Imetengenezwa kwa nyuzi imara zilizosokotwa.
Ina vishikio vya mikono kwa ajili ya kushikilia vizuri.
Husaidia kuimarisha mikono, mabega, mgongo na misuli ya tumbo.
Husaidia kuongeza stamina na uwezo wa mwili kuvumilia mazoezi.
Inafaa kwa mazoezi ya nguvu, cardio na kuchoma kalori.
Inafaa kwa gym, fitness centers na mazoezi ya nje.
Husaidia kuboresha nguvu na endurance ya mwili.
Faida: Inafaa kwa wanaotaka kuongeza nguvu za mwili, stamina na kufanya mazoezi ya kiwango cha juu.