tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Burudani na Shughuli
  3. Vifaa vya Michezo
  4. Mzoezi
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 7 yaliyopita
5 maoni

Handgrip 3 in 1

+1
Life Fitness
Chapa
Vishikizo vya Mikono
Aina
Ndio
Upinzani unaoweza kubadilishwa
Chapa Mpya
Hali
Adjustable resistance – unaweza kubadili ugumu wa mazoezi kulingana na kiwango chako. Huongeza grip strength kwa watu wanaofanya gym, calisthenics, kupanda milima, boxing na arm wrestling. Finger exerciser – huimarisha nguvu na ufanisi wa vidole. Finger stretcher – husaidia kusawazisha misuli ya vidole na kupunguza uchovu. Huimarisha wrist na forearm kwa mazoezi ya kila siku. Ergonomic anti-slip handle – hushika vizuri bila kuteleza. Portable – ni ndogo na rahisi kubeba mfukoni au kwenye begi. Inafaa kwa rehabilitation baada ya majeraha ya mkono au kifundo (kwa ushauri wa mtaalamu wa afya). Inaweza kutumika nyumbani, ofisini au gym. Imetengenezwa kwa spring ya chuma imara kwa matumizi ya muda mrefu.
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif