tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Burudani na Shughuli
  3. Vifaa vya Michezo
  4. Vifaa vya Michezo
Dar es Salaam, Ilala, 16/05
2 maoni

Elbow Support Abdnominal Wheel

+1
Bodyfit
Chapa
Nyingine
Aina
Chapa Mpya
Hali
Kifaa Bora cha Kujenga Abs (Core Strength Trainer) – Abdominal wheel hii yenye elbow support imeundwa kukusaidia kupata tumbo imara (six-pack) na kuongeza nguvu ya mwili kwa ufanisi mkubwa. Elbow Support ya Kitaalamu Ina padding laini ya mikono (elbow cushions) inayolinda viungo vyako na kupunguza maumivu wakati wa mazoezi, hivyo inafaa hata kwa beginners. Stability ya Juu Sana Magurudumu imara yenye balance nzuri yanazuia kuteleza, kukupa control bora wakati wa kusukuma na kurudi. Full Body Workout Effect Inalenga abs, shoulders, arms, back na core muscles kwa wakati mmoja – mazoezi ya haraka lakini yenye matokeo makubwa. Inafaa Home Use & Gym Ndogo, rahisi kubeba na haitumii nafasi kubwa, unaweza kuitumia popote.
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif