tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Burudani na Shughuli
  3. Vifaa vya Michezo
  4. Mabwawa ya Kuogelea
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 5 yaliyopita
3 maoni

Big Swimming 4.5meters

+1
Bodyfit
Chapa
Mabwawa ya Kuogelea
Aina
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
kariakoo ilala
Dar es Salaam • Ilala
dar es salaam
Open
• Jumatatu, Jumamosi, 01:00-22:00
Ni swimming pool ya aina ya Frame Pool iliyotengenezwa kwa ujenzi imara wa chuma na kitambaa kigumu cha PVC, hivyo inastahimili matumizi ya mara kwa mara. Ina upana meter 2 na urefu mita 4.5, inafaa kwa watoto pamoja na watu wazima kupoa joto la mchana na kufurahia michezo ya majini. Pool hii ni rahisi kuiunganisha, kuitunza na kuhamishika haina uhitaji wa kuchimba shimo. Inakuja na miguu imara ya chuma muundo wa kisasa na uwezo mkubwa wa maji. 9 Ni chaguo bora kwa matumizi ya nyumbani, sherehe, playgrounds au daycare.
TSh 1,450,000
16 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif