Aina: Bwawa la kuogelea lenye fremu ya chuma.
Umbo: Mviringo (Round Swimming Pool).
Ukubwa: Kipenyo cha mita 4.
Materiali: PVC imara inayostahimili matumizi ya kawaida.
Fremu: Chuma imara kwa ajili ya kuunga bwawa.
Matumizi: Nyumbani, bustanini na maeneo ya mapumziko.
Ufungaji: Rahisi kukusanya na kuvunja.
Muundo: Rangi nyeupe kwa nje na bluu yenye michoro ndani.
Faida: Lina nafasi ya kutosha kwa familia kujiburudisha na kupoza mwili wakati wa joto.