tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Burudani na Shughuli
  3. Vifaa vya Michezo
  4. Barbell
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 iliyopita
2 maoni

20kg Chrome Adjustable Dumbbell Set -

+1
Other
Chapa
Nyingine
Aina
Chapa Mpya
Hali
Uzito jumla 20kg imeandikwa wazi kwenye case. Maana yake ukichanganya vipande vyote kwa dumbbell mbili, unapata 20kg. Unaweza kufanya 2.5kg, 5kg, 7.5kg, 10kg kila upande kulingana na mahitaji yako 2. Chrome finish - vipande vya uzito ni vya rangi ya fedha inayong'aa. Haipati kutu haraka na inaonekana smart kuliko zile nyeusi za kawaida 3. Viboko 2 vya dumbbell - fimbo mbili za chuma zenye kushikilia kwa rubber nyeusi katikati. Unaweza pia kuunganisha zote mbili kufanya barbell fupi ya mazoezi ya kifua
TSh 250,000
Bei isiyobadilika
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif