tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Simu na Tableti
  3. Saa Smart
  4. Saa Smart
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 11 yaliyopita
1 maoni

Watch High Quality

+1
1
Apple
Chapa
Watch
Mfano
Saa
Aina
Chapa Mpya
Hali
Black
Rangi ya Bendi
Kauri
Vifaa vya Bendi
Ina HD full SCREEN 44mm size COLOR BLACK / BLUE/PINK & SILVER (grey) ina support kupiga na kupokea simu Ina batterv nzuri kukaa hadi siku 3 unaweza weka (PICHA YAKO )  kama watch face kutoka kwenye gallery ya simu yako ina watch face kadhaa nyingne unaweza weka kupitia app kioo ni full touch with quality display ina two buttons functioning yani very smooth honeycomb kama apple watch inapima Body temperature test inapima Heart Rate, BP & ECG ina mikanda size 44/45mm ambayo unaweza badilisha Inatumika kwenve simu zote android na ios(iphone) IP68 waterproof haiingii maji inapokea notifications mbali mbali kutoka kwenye mitandao kama instagram,whatsapp,Facebook,Twitter ,emails mesej za kawaida etc kwenye calls ina vibrate na kuonesha anaekupigia simu !!ina find my phone feature !! ina tumia app inayoitwa WEAR FIT pro
Watch High QualityWatch High Quality
TSh 120,000
1 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif