tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Simu na Tableti
  3. Saa Smart
  4. Bluetooth Saa Smart
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 2 yaliyopita
3 maoni

Smartwatch T1000 Ultra 3 (7 in 1 Set) Yenye Kamba 7 Za Ziada

+1
Other
Chapa
Saa
Aina
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-20:00
Seti ya Kipekee (7 in 1 Set): Ndani ya boksi unapata saa moja kali ya kisasa pamoja na kamba (straps) 7 za rangi na staili mbalimbali, zilizotengenezwa mahsusi ili uweze kubadili muonekano wako kila siku kulingana na mavazi au tukio lako. ​Kioo Kikubwa na Safi: Ina kioo kipana kinachoonyesha taarifa, ujumbe, na kupokea simu kupitia Bluetooth kwa urahisi. ​Uwezo wa Kufuatilia Afya na Mazoezi: Inafaa sana kwa ajili ya kuhesabu hatua za mazoezi, mapigo ya moyo, na matumizi ya kila siku. ​Uchaji wa Kisasa: Inakuja na waya wake wa kuchajia (charger) kwa ajili ya ufanisi mzuri wakati wa matumizi.
Smartwatch T1000 Ultra 3 (7 in 1 Set) Yenye Kamba 7 Za Ziada
TSh 40,000
3 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif