tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Simu na Tableti
  3. Saa Smart
  4. Saa za mazoezi
  5. Huawei Saa za mazoezi
  6. Huawei Watch Fit 5
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 zilizopita
16 maoni

Huawei Watch Fit 5 Smartwatch (AMOLED Display)

+1
Unisex
Jinsia
Brand New
Hali
Other
Vifaa vya Bendi
Digital
Onyesha
Other
Mtindo
LED display
Vipengele
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-20:00
Skrini ya Ultra-Large AMOLED: Kioo kikubwa chenye rangi za wazi na angavu inayosaidia kuona vizuri hata ukiwa kwenye mwanga mkali wa jua. ​ Betri Inayodumu Masaa na Siku Kibao: Inakaa na chaji hadi siku 10 kwa matumizi ya kawaida bila haja ya kuchaji kila mara. ​ Bluetooth Calls & Notifications: Inakuruhusu kupokea na kujibu simu, pamoja na kusoma jumbe za WhatsApp, SMS na social media moja kwa moja mkononi. ​ GPS ya Ndani (Built-in GPS): Inafuatilia njia na umbali wako unapokimbia au kuendesha baiskeli bila haja ya kubeba simu. ​ Ufuatiliaji wa Afya (TruSeen Health Tracking): Inapima mapigo ya moyo masaa 24/7, kiwango cha Oksijeni kwenye damu (SpO2), msongo wa mawazo (stress), na mzunguko wa usingizi (TruSleep). ​ Modi za Mazoezi Zaidi ya 100: Inasaidia kupima mazoezi ya kila aina ikiwemo gym, kukimbia, na kuogelea.
Huawei Watch Fit 5 Smartwatch (AMOLED Display)Huawei Watch Fit 5 Smartwatch (AMOLED Display)Huawei Watch Fit 5 Smartwatch (AMOLED Display)Huawei Watch Fit 5 Smartwatch (AMOLED Display)
TSh 500,000
3 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif