tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Simu na Tableti
  3. Saa Smart
  4. Sports Saa Smart
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 2 yaliyopita
3 maoni

BW9PRO Smartwatch Ya Line - Saa Yenye Simu & Kamera (Phone Watch)

Other
Chapa
Saa
Aina
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-20:00
Inachukua Line (SIM Card Support): Unaweza kuweka line ya simu moja kwa moja na kuingiza/kupokea simu popote ulipo bila kuhitaji kushika simu kubwa. ​Piga na Pokea Simu: Ina spika na maikrofoni ya ndani inayokuwezesha kuongea kwa urahisi ukiwa mchezoni, unaendesha au umetingwa. ​Kamera ya Ndani (Camera Model): Ina kamera inayokuwezesha kupiga picha kwa haraka mkononi mwako. ​Kioo cha Touch (Touch Screen): Kioo kipana chenye muonekano safi sana na rahisi kutumia kwa ncha za vidole. ​Ujumbe na Muziki (Message & Music): Inasaidia kusoma/kutuma ujumbe (SMS) na kusikiliza muziki unaoupenda. ​Programu za Mazoezi (Sports Mode): Inafuatilia mazoezi yako na afya kwa ujumla. ​Kifurushi Kukamilika: Inakuja na chaja ya kisasa ya sumaku (wireless/magnetic charger) pamoja na mwongozo wa matumizi (manual).
BW9PRO Smartwatch Ya Line - Saa Yenye Simu & Kamera (Phone Watch)
TSh 60,000
3 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif