tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na utunzaji binafsi
  3. Utunzaji wa Uso
  4. Krimu za Jua
Dar es Salaam, Ilala, masaa 3 yaliyopita
2 maoni

Glowmol SPF 50+ Gel Sunscreen – Kinga Ya Ngozi Dhidi Ya Jua

Face Creams & Gels
Aina
Unisex
Jinsia
Glowmol
Chapa
Unataka kuitunza ngozi yako dhidi ya miale ya jua? Karibu ujipatie Glowmol SPF 50+ Gel Sunscreen, yenye ulinzi wa UVA na UVB kwa matumizi ya kila siku. Inafaa kwa wanawake na wanaume wanaotaka kuongeza hatua ya kujikinga na jua katika utaratibu wao wa utunzaji wa ngozi. SPF 50+ PA+ Ulinzi dhidi ya miale ya UVA na UVB Chupa ya 50g, rahisi kubeba Inafaa kwa matumizi ya kila siku kulingana na maelekezo ya bidhaa. Wasiliana nasi leo uagize yako. Karibu mteja, tunakuhudumia kwa furaha!
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif