tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Urembo na utunzaji binafsi
  3. Utunzaji wa Uso
  4. Matibabu ya Acne
Dar es Salaam, Ilala, 26/10
6 maoni

Executive Glow Anti-Acne Spot Corrector Cream 50ml

Face Creams & Gels
Aina
Unisex
Jinsia
Executive Glow
Chapa
EXECUTIVE GLOW – Ngozi Safi na Inayong'aa! Unatafuta krimu ya kutunza ngozi yako? Executive Glow ni bidhaa iliyotengenezwa kwa ajili ya utunzaji wa ngozi, ikiwa na madai ya kusaidia: Kutunza ngozi yenye chunusi. Kupunguza mwonekano wa madoa meusi. Kulainisha ngozi na kuifanya ionekane yenye afya. Kutunza eneo la chini ya macho. Inafaa kwa aina zote za ngozi kulingana na maelezo ya bidhaa. Kiasi: 50ml Tunapatikana Kariakoo, mtaa wa Mafia na Bonde. Wasiliana nasi kuulizia bei na huduma ya delivery.
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif