tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Fasheni
  3. Mitindo ya Wanaume
  4. Viatu vya Wanaume
  5. Derby Viatu vya Wanaume
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 4 yaliyopita
1 maoni

Viatu Kali Vya Kiume Vya Suti (Classic Oxford & Derby Shoes)

Ya Wanaume
Jinsia
Nyingine
Aina
Arubaini na moja, Arubaini na nne, Arubaini, Arubaini na tatu, Arubaini na nne, Thelathini na tisa, Arubaini na tano
Ukubwa
Chapa Mpya
Hali
Black
Rangi
Viatu Kali vya Kiume vya Suti (Classic Oxford & Derby Shoes) - Ngozi Safi Imarisha muonekano wako wa kisharifu kiofisi, kwenye mikutano rasmi, ibada, au siku yako ya harusi! Viatu hivi vimeundwa kwa ngozi halisi ya ng'ombe (Genuine Leather) ambayo ni imara, inayong'aa vizuri, na isiyochubuka kwa urahisi. Ndani vimeondewa kwa kishiko laini kinachozuia miguu kuuma au kutoa harufu, na soli yake ya chini haitelezi kabisa. Zinaendana kikamilifu na suti, suruali za vitambaa (dockers), na mavazi yote rasmi.
Viatu Kali Vya Kiume Vya Suti (Classic Oxford & Derby Shoes)Viatu Kali Vya Kiume Vya Suti (Classic Oxford & Derby Shoes)Viatu Kali Vya Kiume Vya Suti (Classic Oxford & Derby Shoes)Viatu Kali Vya Kiume Vya Suti (Classic Oxford & Derby Shoes)
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif