Viatu vya Kijanja vya Ngozi vya Santoni (Smart Casual Leather Sneakers) - Mupya
Ongeza muonekano wa kisharifu na wa kisasa kwenye mitoko yako ya kila siku, ofisini (smart casual), au mtoko wa wikiend! Raba hizi zimeshonwa kwa ngozi ngumu na laini ya ubora wa juu (premium leather) inayosafishika kwa urahisi. Soli yake nene nyeupe ya mpira inakupa faraja ya kutosha wakati wa kutembea na inadumu kwa muda mrefu. Zinaendana vizuri sana na suruali za jeans, khakis, au hata traki suti.