Pendeza Kistaa na Women's Retro Casual Flat Sneakers Kiatu Kimeenda Shule!
Toleo jipya kabisa la raba fupi za kike kwa ajili ya wale wanaopenda kupendeza kwa nadhifu, wepesi mguuni na pigo la kisasa la kishua. Vinashika mguu vizuri sana na vinakwenda na kila aina ya vazi la casual.