Pendeza Kistaa na ECCO Biom GORE-TEX Sneakers Kiatu Kimeenda Shule!
Toleo jipya na la kishua kabisa la raba pendwa za ECCO kwa ajili ya wanaume wanaopenda viatu imara, vinavyostahimili mazingira yote na vyenye muonekano thabiti wa 'High Class'. Vinashika mguu vizuri na kuleta heshima wakati wote.