Pendeza Kibosi na Premium Leather Monk Strap Shoes
Toleo jipya kabisa la viatu vya ngozi vya kijanja kwa wanaume wanaopenda utanashati, mitoko nadhifu na muonekano wa 'High Class'. Vinashika mguu vizuri, havina usumbufu wa kamba na vinaleta heshima wakati wote ukiwa na suti au suruali ya kitambaa.