Ongeza mvuto wa kijanja na wa kishua kwenye muonekano wako kwa kujipatia raba hizi kali kabisa za Nike Air Max 97. Zimeundwa kwa muundo maarufu wa mistari ya mawimbi (bullet train design) na soli ya full-length Air max inayotoa cushioning ya kutosha na faraja ya hali ya juu wakati wa kutembea au kukimbia.