Piga muonekano wa bosi thabiti, heshima na utanashati wa hali ya juu ofisini au kwenye sherehe! Viatu hivi vimetengenezwa kwa ngozi ngumu na bora ya daraja la kwanza (Premium Genuine Leather), vikiwa na muundo thabiti wa kisasa, soli imara ya ngozi/mpira iliyoshonwa (Goodyear welted style) inayohakikisha uimara wa miaka na miaka.