Viatu vya Kiume vya Ofisini na Sherehe vya Double Monk Strap (Genuine Leather) Inauzwa!
Tofautisha muonekano wako na uongeze heshima kiofisi, kwenye harusi, mikutano ya kibiashara, au ibada kwa viatu hivi vya mtindo wa kijanja wa 'Double Monk Strap'. Viatu hivi vimeundwa kwa ngozi halisi ya kiwango cha juu (Genuine Leather) inayovutia, isiyochubuka kirahisi na inayong'aa vizuri sana. Ndani vimeshonwa kwa kishiko laini cha ngozi kinachozuia miguu kuchoka au kutoa harufu, huku pini zake za dhahabu zikileta muonekano wa kifalme. Zinaendana kikamilifu na suti, suruali za vitambaa, na mavazi yote rasmi. [image_JnNPI0.png]